MINBARI YA ULIMWENGU app for iPhone and iPad


4.8 ( 3638 ratings )
Education Book
Developer: fada media
0.99 USD
Current version: 1.1, last update: 7 years ago
First release : 11 Nov 2012
App size: 35.17 Mb

Inakusudia mradi wa minbari ya ulimwengu kufikisha na kueneza ufahamu sahihi wa uislamu kwa lugha ya Kiswahili kupitia vyombo vya habari na mawasilianonmbali mbali katika mada tofauti tofauti kupitia kwa runinga na mtandao ikiwemo (video,sauti,picha na maandishi) na kutengeneza kitabu kinacho kusanya mada hizo na kuziingiza katika vifaa vya mawasiliano na habari vya kisasa kama vile (iphone-ipod-ipad)
Mradi huu wa minbari ya ulimwengu imekusanya mada muhimu katika Nyanja tofauti,kwa mfano:
1: sehemu ya imani na katika mada zake (kumpwekesha mwenyezi mungu, na kusherehesha majina ya mwenye zimungu matukufu,na kumtegemea mwenyezi mungu,na alama za qiyama,na pepo na moto na mada nyinginezo)
2: sehemu ya jamii na katika mada zake( kuwatii wazazi wawili,hishima ya mwanamke katika uislamu na zaka na namna yakutangamana na wasio kuwa waislamu na nyinginezo kama hizo)
3: sehemu ya utangazaji na katika mada zake ( njia zakuvutia nyoyo za watu na kuhimiza juu ya ilimu na utendakazi wake na nyinginezo)
4: sehemu ya tabia na katika mada zake( tahadhari kwa kuteleza kwa ulimi na kutubia kutokamana na maasia na hatari ya kutembea uchi kwa mwanamke wa kisilamu,athari ya madawa ya kulevya kwa vijana na mada nyinginezo)
5: sehemu ya ibada na katika mada zake (namna ya unyenyekevu katika swala,na namna ya kupokea mwezi wa ramadahni,na fadhala za siku kumi za dhulhijja,na hatari ya kuzuwa katika dini,na mada nyingi nezo)
6: sehemu ya misimu nakatika mada zake (idul adha’haa,iidul fitri,na swala yakuomba mvua na swala ya kupatwa kwa jua na mwezi
Hivyo basi zitakusanywa mada hizi katika kitabu,na kupeperushwa kupitia vyombo vya habari na mawasliano kama vile tv na radio,na kupitia kwenye mtanadao na kuwekwa kwenye cd ambapo itakusanya mada zote sawa za kuonekanika au kusikika.
Na pia kupeperushwa kwenye vituo mbali mbali za televisheni kwa lugha ya Kiswahili.